There is this new challenge on Twitter… #Unakufa.
After reading some of those tweets, I’ve come to the conclusion that Kenyans are very stupid or very smart. I don’t think there is an in-between.
How does this even become a challenge, and how does someone think of some of these things.
Sijui kama mmeona hii.
[ol]
[li]Unakula KDF inakupiga war UNAKUFA.[/li][li]Unadate mkale anarun away with your heart UNAKUFA.[/li][li]Unaview status za ‘unakufa‘ unacheka sana unashikwa na muscle contraction za shingo UNAKUFA.[/li][li]Unakosa kuniitia form unalewa unaanguka kwa sewage UNAKUFA.[/li][li]Unapigwa tear gas hapa Nairobi, unafaint unapelekwa KNH unaekewa kidney ya punda unarusha rusha mateke ovyo ovyo kwa streets unapiga billboard ya infinix unalipukiwa UNAKUFA.[/li][li]Unakataa nikushike unashikwa na homa UNAKUFA.[/li][li]Unajiona beast unavybe dem wa Strath/USIU, Kizungu inakunyonga UNAKUFA.[/li][li]Nakutext unalenga text yangu alafu simu inazima unaeka kwa charger inalipuka UNAKUFA.[/li][li] Unaspank dem mkamba anatoa vumbi unapata TB UNAKUFA.[/li][li]Unasmash dem na doggy style unapata rabies UNAKUFA.[/li][li]Mnanyanduana missionary mnashikwa na kanisa mnasulubiwa MNAKUFA.[/li][li]Unangangania dem mnono akusugue anategwa anakuangukia UNAKUFA.[/li][li]Unakataa kurombosea boy kwa club unakaa chini kiti inavunjika unaangukiwa na mzinga UNAKUFA.[/li][li]Unajaribu Kupiga story story inakupiga UNAKUFA.[/li][li] Unaenda sherehe ya kukata na shoka unakatwa na shoka UNAKUFA.[/li][li]Dem yako akona sauti ya kutoa nyoka pangoni anaimba nyoka inatoka pangoni inakuuma UNAKUFA.[/li][li]Dem anajifanya anajua kurombosa anashake kiuno sana ananyamba ANAKUFA.[/li][li]Unajifanya unajua kurap unatafuna ulimi unanyongwa UNAKUFA.[/li][li]unakataa kukunywa pombe kwa bash, unarudi nyumbani unakunywa uji moto inakuchoma intestines UNAKUFA.[/li][li]unakataa kusomea CAT paper inafika inakushinda unaanza kukula pen unaimeza UNAKUFA.[/li][/ol]
Nimeiba hapa - http://www.theinsyder.com/top-20-hottest-unakufa-memes/