https://www.youtube.com/watch?v=kmkck6Cjm6k
Kuna kisiwa kilichojaa nyoka wenye sumu kali barani Afrika. The Most Venomous Snakes of @Africa. Ni eneo la hifadhi ya msitu mdogo na koloni la ndege wa ziwa wenye kelele nyingi na majoka aina ya @kobla Zaidi ya 2000 hivi Kinapatikana katika(Mkoa wa Kati, Wilaya ya @Rakai). Ndani ya ziwa Nyanza,/ziwa magharibi au jina lakikoloni viktoria la pili kwa ukubwa ulimwenguni. Kisiwa cha @Musambwa Kusini ni kati ya visiwa vya Uganda kusini ndani ya ziwa Victoria Hiki ndio kisiwa hakiruhusiwi mwanamke yoyote kukanyaga,ama kuishi… kinaishi wanaume watupu wapatao 200 hivi kikiwa na mashariti magumu ya tabia za wanaume wapenda ngono,hapa kuna maambukizi 0 ya HIV wanaume wa kisiwa hiki hawaogopi kabisa kuishi kwa amani na maelfu ya nyoka wenye sumu kali aina ya cobra…Kumuuwa nyoka hapa ni uchuro na hairuhusiwi Wavuvi hawa wako katika eneo la kati la Uganda, hivyo wanaongea kabila la Baganda, ndilo linalotawala zaidi na jina la Musambwa likimaanisha Eneo la Mapepo