
This is a mafia state!
Only the son of Jaramogi can rescue us from this sinking ship…
@Mikymas utaambia Nini watu.
Damn Narok, laikipia, kajiado, Nakuru etc there will be wailing and gnashing of teeth
Ruto! Ruto! Ruto! Ruto!
Juu ya hao wakulima nilimiss my ksh 6000 kila mwezi. Uskii ningefungua fixed savinga account, after five years nijipatie treatment ya ki sultan pale Seychelles na my family. Anyway maji yalimwagika courtesy of kina @sani, @Micymas, @ChifuMbitika na others. Mulitufanyia nini Jameni!!!
Ruto ni Takaaka sanat
mimi niliambia elders hali halisi vile ilikuwa.
ata sasa ivi ukiangalia parliament vile wabunge wamepeana independence yao ndio wapatiwe pesa kidogo ya kukula, utajua vizuri Ruto kuenda nyumbani, itategemea tu na feelings zake binafsi, ata sio 2032.
wakenya wanabehave kama kondoo, lakini ukiwaambia fisi anakuja, watasema wewe na huyo fisi mko pamoja.
watu watayarishe lube, hakuna namna nyengine.
cha kushangaza ni big Ukranian farms are American owned. Anyway most of the world’s grain comes from Ukraine, Russia and Canada. America rarely exports.
Jambazi

The imported tunajua ni proxy ya nabii