Umejaza Tank

Siwezi ongeza gari pressure juu watu wamejazana at my favourite petrol station wakijaza tank…
Kumbe watu iko na pesa ni kelele tu.

Picha hata ya petrol station hakuna aliye kataa

Pinhole camera…is all I had

Wanaitwa Twitter revolutionaries :D:D

hekaya

Ni wewe tu uko na kelele…

Nimezunguka Kiambu road, Kiambu town nzima, Ruiru hakuna petrol station iko na mafuta, nimeenda Bypass, Kahawa West kutafuta mafuta hakuna, mahali nimepata mafuro ni Kamiti corner, gari kama 100 zimepanga line ku-fill up, imebidii nijaze full tank, kesho narudi zangu Kampala nikae huko mpaka hii story ya mafuro itulie.

I don’t own a car I walk everywhere

Yangu ikiisha ntaenda tu kambi nijaze tank kama kawaida :D:D:D endeleeni kupambana na hali yenu

Kambi ya jeshi, polisi, NYS, scout ama Kampi ya Moto?

You’ll Never Walk Alone :D:D:D:D:D

Tuko pamoja ama vipi

Nani ako na oil tanker tuendee mafuta musevenistan?

[ATTACH=full]191614[/ATTACH]

#MuhoroniTutaenda

[MEDIA=twitter]1037429754352291841[/MEDIA]

Businesses out there are crying on Twitter.

Ya jeshi fala hii

Ukiona vile motorists wanajazana petrol stations it means one thing, they don’t give a damn about fuel price hikes. Petrol is life.

This is the time we need to ask ourselves if we can entangle ourselves from the shackles of petroleum dependency.

[ATTACH=full]191706[/ATTACH]

Watu waanze kuimport Tesla