Umama

First of all badilisha io pad umevaa, hufai kurecycle for 2weeks…alafu nunua kamisi utume paybill nitalipa, itakufaa sana

ustake nikumbushe kuna mwaka safaricom pekee ndio waliniwish HBD alfu kuna bish ingine imenipigia kuchukua phone inaniambia ati ahhh pole sio wewe nilikuwa napigia kama imezima…enyewe kuwa na undume mingi ni shida pia ningekuwa na umama kiasi ninge complain atleaast najua nigepata angalau queen cake ama kaimati.

Honestly,no one likes to be ignored,either on social media or in real life.The thing is,you ought to have it in mind that the world doesn’t revolve around you.Today you are accepted,tomorrow someone has replaced you period.

@Baba Toto nakubali thats how wajango hukaa…kaa silent a week or two mwenye anatafuta wewe cheza naye hao wengine wacha wanyonye makucha

Pole kaka lakini ata wale wameoa hawana peace.
[ATTACH=full]112678[/ATTACH]

Seems like it is a sort of insecurity. And most likely I think unacatch ukibonga na madame. Here’s the thing, avoid absorbing too much emotion into the convo. Its just a text anyway, so zoea kuongea na madame wengi ndo mmoja akikupea blue ticks it won’t be a big deal. Na vile wengine wamesema hapo juu, zoea kupigia mresh simu. Chatting and SMS kila time are a bit mundane.

Avoid Mafeelingsi by avoiding investment… Never ever invest your feelings…
Always be there for material gain…
You won’t ever jipata umezusha ovyo ovyo coz you simply don’t care

una upgrade kuwa shemale… .female hormones zinakupanda kijana

:D:D:D He’s transitioning!