Bado na zidi nitadoze 12pm.Kama bado unalewa weka stamp uko wapi na unaplan kulala saa ngapi?
pombe sio supu brathe
[ATTACH=full]80551[/ATTACH]
black ops …simu yako haina camera bado
brathe ni wewe !
oa uwache uchinga mefi wewe
ati AFCO wewe ni @pamba
1 Like
Wacha kusumbua maliza uende ulale
navy seal tulia
Ulevi haijaisha kwa kichwa?