Ulevi suckle

Niko hapa classified location sipping my favourite poison na sisumbui raiya, hebu weka stamp unakunywa nini na huko wapi

Nakunywa lemonade na asali nifukuze homa.

1 Like

niko hapa nyumbani na watch nikikunywa maji yangu ya keringet na sisumbui ata bibi

2 Likes

Sasa wewe unasumbua sisi

4 Likes

Niko kejani sipping cool yoghurt and watching Mrs Mwamba giving Charlie a hard time

[ATTACH=full]55925[/ATTACH]

2 Likes

Nakunywa chai tu. I only drink on Fridays and Saturdays

2 Likes

home brewed Dorman’s coffeehouse blend au lait accompanied by capital jazz club on 98.5…na sisumbui…hello @Jazzman …

2 Likes

Chicken broth na kafirifiri na apana sumbua. @uwesmake kujia dawa ya hangie

3 Likes

Kwanini kila MTU anakunywa drink take?

Mimi Nime brew croissant kama ile ya artcaffe nakunywa pole pole nikivurutangwa nywele na hawa wavulana wangu
[SIZE=1]Lakini real drink ni dufear[/SIZE]

6 Likes

Drinking alcohol is overrated.

1 Like

nimerudi work base mapema leo…

1 Like

Lock manenos

HANGOVER INANIUWA , CUSTOMERS WANASUMBUA

Enda utoe lock na usingoe mlango

Mimi nikijaribu hivyo Naend up kungoa milango na madirisha.[SIZE=2]Afadhali niumie hadi hangover iishe[/SIZE]

1 Like

hii yako imechinda:D:D

1 Like