Leo ni Friday. Niko na bluemoon na goks mpaka che. Watu waweke stamp wana kunywa nini na wako wapi?
@Purr_27 come we go for a drinkup
[ATTACH=full]67038[/ATTACH]
whiskey + sprite + ndimu :D:D:D
kila mtu na starehe yake
Google “breast cancer”
Skyy vodka citrus, na sisumbui
Tumejua wewe ni onepack:D:D
Hi @Chiefkiumbe Siwesmind mind hiyo 6 pack
Anaonekana niarete indo ciake o kahora
Sasa bibi umemshow apige picha upeleke IG ama? Btw hio whiskey nlionjeshwa na some peasants nikakua na vituko sana. Don’t know about your experience .
Buda utafanya watu watapike githeri ya lunch
J.B na Alele matawi.
Ballantines 12year old.
Advance inaingia next week na hatusumbui
http://www.thetimes.co.uk/tto/multimedia/archive/00131/Beer_131257c.jpg
Thanks thou I have never handled whisky well, ebu listen to some good music from this beautiful continent of ours
cc @ol monk N @Deorro
[MEDIA=vimeo]145991113[/MEDIA]
Fungua chupa tuamini ama wewe ni attendant wa wines and spirit
Tld u,with these makali lazima ukule nyama,unakula githeri n u think ull behave??
Iko na nini??
Hio plate yako naona ilkua na githeri lakini . Why preach meat and do the opposite ? :D:D
Hapa si kwa nani pale tao buda boss.