Ulevi Sacco

Niko Klymax Ruiru. Pissed after kulipa two beers kwa entrance halafu unapata ndani kumejaa. These idiots should be skinned alive!

hayo ni mambo ya kuleta kwa kikwao cha Elders sasa? why is that a national disaster?

You are a sponsor, not an elder…you should be cooling your bells in your man cave sio kusumbua vijana barobaro hapa

lazima tufundishe barobaro kutojishughulisha na opuss. how else do we pass wisdom from generation to generation? Tena, juu hivi karibuni utakuwa Elder (Godspeed with that!) ukipeleka mambo kama haya kwa kikao utafukuzwa…

Haram or halal ?

http://i.imgur.com/0iVF2Ca.jpg

1 Like

Halal kapsaa, hii nachambua kama karanga.

1 Like