Leo nakunywa blue moon na goks. Watu waweke stamp wana kunywa nini na wako wapi?
Niko ofisi bado lakini, jioni niko kwa Konyagi.
leo ntaanza na zoezi, then nijiweke movie ama [ATTACH=full]65993[/ATTACH] kama mbaya ati simba akikosa nyama hula [ATTACH=full]65994[/ATTACH]
Coconut ni mambo biad,made me clock 160 between Kapsabet and Eldy
Shunga usiitiwe nyama umwage after 6 seconds
Mrembo anasema anataka Kukunywa Gilbeys so sa hii namsikizia Zanzi is way better ndio nipunguze gharama
huanga noma juu huskii ikipanda we nakunywa tu juu ni tamu, weee
Yaani kirusi huezi afford mzinga moja tu ya Gilbeys. That useless drink costs around 800 shs for a 750ml bottle. Ukikunywa kwa Bar labda ndio ifike 1,500 shs.
Chai kwa wingi!
inakubaliwa kulingana na hizi vitu kama NYS
i meant bailleys sorry
Log island manenos
[ATTACH=full]66013[/ATTACH]
Pink handles treat :p:p:p:p
[SPOILER][ATTACH=full]66014[/ATTACH] [/SPOILER]
nimewacha pombe
chieth usituwekee ujinga hapa
Club signature Eldoret hapa VIP lounge na mtotoz Wa campus.
Seriously purr, are you on a rebound? This is very worrying from you.
weka cd mpangoni, hao ni wabaya
Hiyo ni lazma, I have dependants.
safi boss