ULEVI SACCO

Leo ni Friday so nime shika bluemoon goks but Leo na chapa ngwai juu nimevutwa job. Monday nimerudi kua hawker. Watu wapige stamp unakunywa nini na uko wapi?

1 Like

Wacha vidokezo tupe hekaya kamili

Pole mwenda, go easy with the drinking. It wont help

all will be well sir

pole leo sitakunywa sana in solidarity with your predicament

Kwani uliuliza boss zile maswali zako?

4 Likes

Manze you’re so casual about losing your job, ama ulikua kwa mhindi? Iza msee, io ndom puff puff pass

420 blaze it … I can’t drink but am in my 3rd *cough

420[ATTACH=full]55750[/ATTACH]

Najaribu hii KC coconut…then niendee Castle milk stout au Guiness. Budget ballin’ tu leo.

must be an indian employer