ULEVI SACCO

Leo niko kwa keja na goks na blue moon. Weka stamp unakunywa nini na uko wapi?

1 Like

Blue moon and such spirits, vodka and wisky siwess. Just sipping a glass of red wine.

1 Like

Bia ni Bora. Bia baridi ni Bora zaidi.

Sasa kama nimelala niseme nakunywa nini?

1 Like

[ATTACH=full]53700[/ATTACH]

1 Like

nahangaikya kila bar hii Nairobi nikitafuta pale @Preety anapewa hizo cocktails zake, agenda yangu ya leo lazima nitampata, settings lazima nipewe

NDIO NIMEAMKA , LEO NAINGIA SANKARA NIMEZE GILBEYS

1 Like

He he vaite murume!!!

1 Like

Boss unafanya kazi kwa airline gani?

Safe journey.

Leo Mambo ni b-club Nairobi, picha masaa nne hivi

2 Likes

[ATTACH=full]53702[/ATTACH]
idhaa ya game mbaya na mambloh

Bado uko Base ya keg ukingoja 10pm ukimbie B club?

1 Like

Hapa harrys nangoja Game ya Man U. @Tommy Lee Sparta kam upewe moja ya Prediction kings

Ni ukweli unakuwanga ule msupa @Purr_27 ama ni the other way round?

b-club = billionaire’s club

Mm nko klub galileo apa Bomet. Came to oversee som project na cjapata chedda mpaka tuesday. So najituliza na kamzinga ka richo nkiwatch volla ya US na Italia.

at Sip N Lip , sipping my cold white cap watching this very nice live band playing

DEMAKUFU KUJA HAPA BEE CENTRE UPEWE JAMESON

, NIMEKAMUA MALAYA AM FEELING GENEROUS

Actually its kapkatet or smthng lk that. 5 mins drive frm kaplong town and 10 mins to Litein.