Ulevi Sacco

Walevi wale Wana enda kulewa Christmas, Weka stamp uko wapi na unakunywa Nini?
Mimi Niko undisclosed lokshen
[ATTACH=full]277235[/ATTACH]

Afu badaye si ni kirinyaga road kusaka lanye? Mwanamme unaishi !

Naenda lunch ya family. Jioni niingie base ya jugdaniels. Nimalize na lanye

Mkisii chinga, hata Leo birthday ya yesu unafuruta bangi?

Drinking Napoleon is a total disrespect to the sacred season of Xmas. Tafuta pombe mzuri at least for today. Na uwache kutafuna hizo matawi kama mbuzi. Hata Mimi leo nimeamua hakuna kukunywa cheap liquor. Naendea wine ama expensive whiskey.

Naivuta ata saiii, utando?

Shifo kuja tukunywe wine…

Am tired of beer.
I don’t like spirits,
Wine is a no go zone for me.
Sasa nikunywe nini wadau?
Wapi naweza pata kamuratina fresh?

Uko area gani boss?

Tafuta Ile muratina ya keroche ama ukunywe Amarula

10 thousand miles away but unaweza fika in 8 hrs time…

Nice holiday then. Nitakuja next year

Uko wapi?

Upus. Kunywa pare mfuko imekufikisha. Si kuomba loans January ya food na fare

Maze nimejipanga siwezi kunywa ya school fees ama rent. Lakini kujibamba in a good way ni lazima

Hiyo muratina ya Keroche ndio ipi?
And Amarula is a no, nitakuwa nimesota kabla nilewe.

Nairobi tu.

Enda dagoretti