Ulevi Sacco.

Leo ni siku ya kuabudu na kupumzika. Jana ulilewa wapi na ukikunywa nini? Mimi nilikunywa Vat na baadaye nikaongeza Guinness juu. SAA hii nasikia kama MTU aliyerogwa.

Legends hulewa mpaka Sunday saa nne usiku msee unaingia works morning ukipumua mpaka mdosi anakupea coffee break

At a Mimi bado najieka konyagi. Sioni nikimake kesho.
[ATTACH=full]262849[/ATTACH]

Si kwa Ubaya but that’s not something to be proud of. Pombe haishi.

Ukisota pombe inaisha mzito

Just chilling with juice after yesterday hennesy damage

Just chilling with juice after yesterday hennesy damage

Chifu kuja Valentine’s Zimmerman nikutoe lock

Kwa meza yako tu

Hapa albaki imenirarukia mbaya kejani after kupeleka familia out.