Watu waweke stamp uko wapi na unakunywa nini?
[ATTACH=full]149116[/ATTACH] Mama Fatima base.
Very few can relate
5 Likes
Niaje @Meria Mata :rolleyes:
2 Likes
Kwa pigsty nikiteremsha leftovers za festive season [ATTACH=full]149126[/ATTACH]
2 Likes
Salimia VC akipitia hapo.
4 Likes
Shifu @Meria Mata pitia hapa ukipokea thalamu
2 Likes
l can relate,ni kilalo au freshi?
Currently rejuvenating my liver.
Aaaah Wanyua mnazi…hio tembo siwenyi igusa ukiinyua mdomo wanuka mavi…
1 Like
Samaki tamu ila harufu yake mbaya
Wacha urongo…samaki za pwani hazinuki
[ATTACH=full]149258[/ATTACH]
1 Like