ULEVI SACCO

Watu waweke stamp wanakunywa nini na uko wapi?

Hii stamp ndio gani tena mjamaa wa kufyatuka?

1 Like

Niko hapa naongoja konyagi iletwe mezani. Photo effidense nikibuy bundles na Kcr shortly. RWNBP

3 Likes

Nakunywa fombe ya Francis Mureithi hapa undisclosed lokeshen.
@uwesmake utakuja?

Muteta soup…, [SIZE=1]thufu of knees. [/SIZE]

[ATTACH=full]116943[/ATTACH] set kwa local

GK baridi na momo moto by my side , those yellow thighs damnn !!!

[ATTACH=full]116945[/ATTACH]
Next week kama sahii ni hivi x2 whether it’s RWNEEBP or UOTP. Nani ako Hardy akunywe triple double

2 Likes

Am 3 clicks from you

Karibu. Iko matumbo na mutura ya kutosha

1 Like

Nakunywa konyagi na glass kama hio. Checkmate

Niko Hapa Bomas Natupa shot moja nikimaliza nakwambia

Sande sana omwami but when I get to my ka-local hio unakuwanga mwisho ya mwendo.

Maybe next week’s celebratory drink (regardless of winner )

Ndo nmeingia kejani but natoka. In fact nategea nyoka ingine inishtue tukakamate kakitu lakini kickstart ni lazima ya kutoa nervousness ju ni kitu mpya…so fombe ya ule slum dweller birrionea comes in handy.
[ATTACH=full]116958[/ATTACH]

1 Like

Spoilt for choice

Throw away the JD

Huendi?

Sorry meant, Huipendi?

Most useless excuse of a whisky ever made

No offense meant:D

Karibu sana Generali, tuko chupa ya pili

1 Like