ULEVI SACCO

Watu waweke stamp wako wapi na una kunywa nini? Mimi Niko indoors na handas[ATTACH=full]115305[/ATTACH]

2 Likes

Unakunyia kwa ofisi?

1 Like

Waaaah

Leo sikunywi hii baridi ya leo ni too much na mimi ni mtu wa outdoor pubs.

Huna glass?! Unakunywa pombe kwa kikombe?

Nimekasirika zaidi all my music gone

1 Like

halafu ni kama ameongeza sukari juu naona tea spoon hapo

6 Likes

Watu huchana na njugu,mnashikisha taksin aje. Ama mambo ni kumeza kila kitu?

What happened?

Kuextend partition

1 Like

Hehe … zake zishashika saidi

Back home
[ATTACH=full]115323[/ATTACH]

Pole
Hope gurus wil help you recover them. There must be a way out.

1 Like

kumbuka kujijenga na ka quarter

1 Like

Umeoga??

2 Likes

:D:D:D

apana leo sijatoka kwa nyumba

1 Like

Alioga jana. By the way @mukuna how was the interview?

1 Like

nilipelekwa mbio sana hao wazee walikuja wakiwa wameamua

1 Like

Hii ni irish coffee☺