Ulevi Sacco

Mwezi iko corner. Watu hawataki kuspend. I only drink and have fun on Wednesdays lakini leo siku yote nimeingiza 4500, a record low. Currently contemplating whether it makes sense kulewa nikiwa nimeunda hiyo amount juu it might cancel a whole day’s work. Kashetani kamoja kananiambia I only live once and since mimi hulewa just once per week on Wednesdays, niende. Kengine kananiambia leo nikilewa nitakuwa nimewaste kazi ya siku mzima:mad::mad:

You dont make any sense… If that’s the lowest amount you make a day ata ukikunywa pombe yako solo no loss… Per month thats more than 120k…again you dont make any sense if you contemplating of drinking 4500k and that’s the least you make… Yani is this recession that much that people are even hiding behind their incognitos and lying to us how much least they make?

1 Like

Fuel 500. Nibaki na 4k. Nikunywe 4 beers za 250 nibaki na 3k. Nidecide kuitisha nyama 1k ipotelee hapo. Kumbuka siendi peke yangu niko na a female friend I have been banging. Weka 1k ya pombe zake. Nabaki na 1k na ukiwa na msichana anything can happen so technically sitarudi keja na any. Halafu wacha kufanya hesabu ya per month. Mimi nikiweka pesa bank huwa hazitoki. So my habit is I use part of my earnings za Wednesday narudishia mwili shukrani. Income from other days usiiconsider juu it has other uses. My point is, I use roughly that amount kupeleka mrembo out every wednesday, na nabaki na kitu ya kubank. Leo kutumia pesa yote kwenda out ndipo issue iko.

Silewi lakini napenda uji wa wimbi na limau.

http://i.imgur.com/IgQBlyN.gif

1 Like

So you eat 1k daily for meat and you have a concubine daily to go home with??plus 500 daily for fuel ? That takes me almost 3days to and from home ka spitii any place… Do you know there are many millionaires who make less than 4500?

1 Like

peleka msichana imax muone Dunkirk.
kukunywa fobe ukifanya budget kwa kichwa si fun.

2 Likes

I only use that 4500 or thereabout on Wednesdays pekee. What part dont you understand? This is not a daily thing. But leo pesa ni hiyo tu ya mwenda out so technically tukienda out as always, nitakuwa nimewaste pesa ya siku moja entirely.

Any how was just saying and trying my all best to understand you… I make less than you make a day and i can drink double of what you think is excessive for a week yet no withdrawal impact made in my account… It’s all about knowing where you get it and how you spend it…

Penye naona shida ni kutumia the whole day’s earnings kwenda out which is not the norm. Juu at the end nitakuwa kama mtu hakuenda job leo.

http://www.bob-evers.org/fotos/26/cokebottle.jpg
watu wa coke baridi tukae wapi??

2 Likes

hii hesabu yooote unapiga ili ukunywe fombe?? wachana tu nayo

3 Likes