'ULEVI SACCO'

I hope i wont recieve RKOs and upper cutts for opening sacco ya wenyewe. Anyway,unakunywa nini na uko wapi? Tommorrow being a work day for me,mie nateremsha tu ka -coke baridi hapa kazini
[ATTACH=full]109062[/ATTACH]
Bila kusumbua…

4 Likes

[MEDIA=twitter]880701785861742592[/MEDIA]

3 Likes

Am grounded, no alcohol for a week.

mboko na mlija, ata nimeshindwa kutype hekaya

Iza boss

Mimi niko classified location

[ATTACH=full]109070[/ATTACH]

Ferk kasneb wacha nikamate pia

Bro tafuta Jameson uburuduke nayo

chai by choice…

3 Likes

@Afro utafungua aje ulevi sacco na coke?
Niko hapa classified lokeshen na hii coke pia.
[ATTACH=full]109076[/ATTACH]

7 Likes

chai achia waluya

Kweli mwezi iko kwa corner. Leo hunywi double black?

4 Likes

soon utakuwa sawa usijali

Your post reminds me of that quk singer ‘Ngai atendete ndungitonga’.

2 Likes

hehehe…ni jubilee ya akina spear inaumiza mimi

:smiley:

:D:D weka lyrics brathe. By the way this week kuna mzee alikuwa akinipatia advice za life akanishow ukikaza saana huwezi pata kakitu. siri ni kubalance sherehe na kujipanga.

2 Likes

Leo lazima nijidunge na some rich red red wine at some point. Pikcha ndiyo sijui kutuma sababu nephew is not around to help me na hizo default settings manenoz. A very busy week at work.
@Bingi pls sitaki kusikia ati nisi lewe. Sitalia hangover kesho. In moderation, enough to help me sleep well.

4 Likes

G

Search for Bylaw Kangethe, in YouTube, the song is against watu ya soda akina @Afro .

1 Like

chapa excess ndiyo ulale bila worry

Kumbe they can do the marking in one month