[ATTACH=full]89044[/ATTACH] Nakunywa hii pombe ya peasants pole pole kwa nyumba bila kusumbua raiyaa Wekeni stamp mnakunywa nini na mko wapi Leo ni sato lazima lock itolewe
leo nimepooteza 10k pale spesa
Uliwekea arsenal pesa
pewa mbili kwa bill yangu
Leo nimeamua niharibu local. Nangoja OCS akuje anipeleke nyumbani. Na sisumbui
1 Like
io meza yako jamaaa? io imetengenezwa na kuni nn?
1 Like
ssshhh kanyagia jo
1 Like
hiyo ni floor si meza
:D:D:D:D