Ulevi sacco

Watu waweke stamp unakunywa nini na uko wapi?

[ATTACH=full]81551[/ATTACH]
7,49 euro

3 Likes

Hiyo ni maziwa kwa chupa ?
Mimi fombe apana , supu hapa season , teargas kiasi .

1 Like

Chokosh leo kibarua ni kuosha maglasi na goblets sio?

Wah Kumbe tei huko ni cheap hivyo

1 Like

Del monte for life… Apana haribu liver

Utakufa tu bado

4 Likes

2nd week of detox.
I never crave for alcohol.

namunya mate ya kamidget flani leo…apana taka pombe

Me and fobe hupelekana ivi<<<<<<<<<-------------- —>>>>>>>

Leo nakunywa “jug Daniel” ya black.[ATTACH=full]81554[/ATTACH]

6 Likes

Back in the day tulikuwa tunaweka nescfe kwa keg then it turns dark,hio njaro bado ipo?

3 Likes

Eabl’s subsidiary kbl decided to colour it for us. now we have the brown and black versions of keg.

2 Likes

Carwash, starter pack supper + drinks alafu kejani ka dryfry (watu wa telegram mungoje picha @8pm tonight ) Alafu niende out vizuri
[ATTACH=full]81559[/ATTACH]

1 Like

unakunywa na straw??

hio ya black ni guiness keg ni muoto sana, kwanza usijidanganye kuroga na makali

2 Likes

Sitaki kuambukizwa TB.

watu wa uji tunaregister wapi?

hapo sawa sana

Iko midget Ya kichonyi imeniweka Sana hapa naingoja, acha nifungue carburetor, seems like a no show today… Saitan[ATTACH=full]81620[/ATTACH]
Who wore better hapo juu BTW?

4 Likes