ULEVI SACCO

Watu waweke stamp wanakunywa nini na wako wapi?

Tuko kwa ofisi bado.Next?

Umeanza mapema sana, news za 7pm zikisomwa utakuwa unachoma mbisha.

Nakuru county napiga Rum kama kawaida.

https://www.youtube.com/watch?v=Xcvu4OICuBI

Tequila shots kwa hao. .

[ATTACH=full]70920[/ATTACH]
Kuna mtu anakunywa hii meza next na anasumbua:D:D:D:D:D

1 Like

[ATTACH=full]70922[/ATTACH] billionaires wacheni kusumbua, Acha nijaribu niewe sober ndo nisumbue,

2 Likes