Ulevi Sacco: with the old man

My old man decided to pay an impromptu visit. Now we’re somewhere enjoying cold ones reminiscing about the past and laughing about about the sisters, his unagati mob, and him trying to relate to the riddims playing on the background.

[ATTACH=full]93960[/ATTACH]

4 Likes

enjoy the cold ones

2 Likes

Ni tricky kukata maji na mzae, na akianza kumezea waiter mate ama atake kuchipo ka dame…

Ni vibaya sana kuonyesha baba yako uko na hii utoto yote ya kupiga pombe picha mkikunywa. Hope you had the decency of doing it akiwa ameenda washroom.

9 Likes

Chupa moja mnagawana… Si mwache fobe tu

2 Likes

Ulitoka Gi… mzito?

Wakamefi junior, kuja Java Blue ukunywe cia ngadamia, room na momo ujipange

Hii ni poa sana.

1 Like

yeah hata sahi naenjoy a break kazi ni kushinda tu ktalk

niko masaai land mzito na hata easter sioni nikifika 014. labda urushe kindu kwa m-mbesha

kama huendi ingo long weekend nitakutafuta

1 Like

Kwani umekuwa @Kihii Kiaganu ndio upige picha mkikata maji na mzazi? Huu ni ufala

1 Like

hapo swafi , ni juu ya mama watoto super ama ?

1 Like

:smiley: Alikua washroom, had to sneak in one thread,

:slight_smile: Yani huoni hio whitecap iko hapo kando, anyways what’s up with wazae na whitecap?

:D:D Hatuwezi toshea juu ya mama watoto sisi wote, tuko hapo kando, Club Endoros

2 Likes

Pombe nikama inanikataa, I am bored with beer.

fuckk a cow utaskia poa

1 Like

Siwezi peleka mzee kwa bar,pombe tunakamatia kwa boma kama iko sherehe,boundaries @Riva ,kila mtu alishe mecho kiviake.

1 Like

Tafuta wildfrank akufunze kuvuruta bangi muanze kuruka kutoka kwa madirisha za matatu na yeye.

2 Likes

Bangi nilivuta Kama experiment when I was a teenager and outgrew it, guess I am outgrowing alcohol.

1 Like