Ulevi sacco - wikend edition

Time stamp tafasali;

[ATTACH=full]372575[/ATTACH]

Vijana Tuache Mihadarati

Niliacha pombe

:D[ATTACH=full]372576[/ATTACH] Neat Mara Hotel Lolgorian Narok County …

lakini nguruwe ile nono chunga usishikwe uchapwe viboko 40 hio matako imepitia mengi tayari

Weka ata ya chai pia ni sawa

Poa Mianoste

Kush baba Tuma dirum ya konyagi banae;)

Isnt it illegal to drink huko

Nakunywa tea and scones

Pikcha.

Nilijikuta nimewacha hii ulevi club like a joke pole poole pooole. I plan vile nitalewa on some occasions but when the day comes I bail out for no apparent reason. Days and weeks have turned into years+.
Lakini sijawacha…will be back.

With a liquor license unakunywa kupindukia as long as it’s not in public na ukilewa ukae kwako sio kwenda kusumbua raia.

Iza mujamaa, wapi paybill namba?

Wewe umekubaliwa kuwacha. Infact you should abstain ju ya tushudren let mwenye house a take over

Inatumwa Kwa mpesa Na sahii Ni carfew, :mad::mad::mad: keso

I kind’a disagree. Couples do have the occasional drink together. You get a baby sitter in or drop them at a close rela’s like my sista.
Kwangu ni vile hata the desire to drink is all but gone kapsaa.

Nipo nipo
[ATTACH=full]372648[/ATTACH]

@kush yule mnono weka picha yako tuone vile unakaa

Why spoil good whiskey by mixing with soda buana?How will you enjoy the aroma,scent,smoothness if you mix it with soda?maji na icecubes tosha.