Ulevi Sacco: thirsty Thursday.

walevi wale bado wanalewa. Weka stamp uko wapi na unakunywa nini?

Ni mapema sana hata Chai bado

Nini mbaya na wewe ?? @ 6.36am and you talking about drinking ?

Siku hizi umekua kalewa ase