Ulevi Sacco: Saturday Relax

Walevi wale wanaenda kulewa kurelax after a long week. Weka stamp unakunywa Nini na uko wapi?

mjamaa wa kulewa dawa ya hangover ni ? jana nimemeza mzinga ya whisky leo hangover imeniweza am just sweating

Water mob alafu chakula. Nilikua na hangover pia Leo. Just finished 1 liter sparkling water baridi then nikakaranga mayai iko na pilipili and Nyanya nikatafuna na sembeste… Am now recovering

Sabina joy

[ATTACH=full]204144[/ATTACH]

kumbe kuna dawa

Epuka pombe za Kariobangi kama ile ng’ombe uwesmatei.
Good quality whisky has little hangover.

Lasma izo ni kina Best, top secret etc ndio alikuwa akimumunya

[ATTACH=full]204173[/ATTACH]

Drowning my weeks sorrows and thanking the body for having endured

Ongesa McMohan na McDowels pia :smiley:

Ooooh yes kuna dawa na yesu ndio dawa

William Lawson
Old monk
Zappa
King Robert dry gin
hizo ni poa

Teachers