Ulevi Sacco: Saturday Party: Liverpool v/s Arsenal

Walevi wale wanaenda kulewa after a long week tukiwait ball ya arsenali. Weka stamp unakunywa Nini na uko wapi?

Seems like all your fans decided you aren’t worth the time.

Bao mbili za liverpool ni kama ibadi na own goal ya ile ngombe ya germany in defense.