Ulevi Sacco: Pre-Moi Day

Walevi wale wanaenda kulewa. Weka stamp unakunywa Nini na uko wapi?

Moi day imerudishwa on what grounds?

We dont care! Cant wait to hit the local jioni. Yenyewe hizi impromptu holidays are a nightmare for employers and self employed people, imeharibu mipango mingi sana

Kwanza watu walikua wanagoja cheque ziive

True that

Fuck the holiday mimi kuanzia six nitakua site mpaka saa moja…client apana tambua holiday.

:D:D Huku kila mtu ni employer.Wacheni wafanyikazi wenyu wapumzike.

That’s where I find myself, ferk Moi.

I’m caught up in that as well.

Holiday doesn’t matter to me. I will keep doing what I do best.