Ulevi Sacco: Monday blues

Walevi wale wanaenda kulewa. Weka stamp unakunywa Nini na uko wapi?

bot ya @Deorro unasumbua

[ATTACH=full]198976[/ATTACH]Karibu chifu.Naua monday blues hakuna bibi,watoto but naona mboch akipitapita… [SIZE=1]hapana bado kula yeye na siipangii… you ferkin wankers[/SIZE]:D.Nyumba imenyamaza isipokua helicopters za my leafy surburb neighbours wakienda zurura.kutulia tu leo :D:D:D