Ulevi Sacco: Ladies Night

Walevi wale wametoka job alafu mutaenda clubbing. Weka stamp unakunywa Nini na uko wapi?

[ATTACH=full]206675[/ATTACH]

Ka’polite hapa kwa Mary tukingoja kanyama before tuingie hapo Roxy tuone warembo wa karaoke.

Hata Mimi wacha nikanyage kama hio hapo kwa local nipunguze stress

Chang’aa kwa Mama Rhoda.

Eltret

Amateurs …

Hit up ROXY Club on a weekend and meet Slay Queens who can drain both your Booze and Wallet in one night …!!

[ATTACH=full]206822[/ATTACH]

[ATTACH=full]206823[/ATTACH]