Ulevi Sacco: Furahi day

Walevi wekeni stamp Leo unakunywa nini na uko wapi?

Busaa kwa mama pima.

Asubuhi hii? Hii si ni kutoa lock?

Tusker kawaida hapa waves.

Guinness kwa nyumba

Kutoa lock sio muhimu kama kukunyua kadogo juu ya tumbo.[ATTACH=full]189775[/ATTACH]

[SPOILER=“birrionaires msiclick”][ATTACH=full]189776[/ATTACH][ATTACH=full]189777[/ATTACH][/SPOILER]

Navy seal Kama kawa my fav whisky

[ATTACH=full]189779[/ATTACH][ATTACH=full]189779[/ATTACH]