Ulevi Sacco: Friday party

Walevi wale wametoka job. Weka stamp unakunywa Nini na uko wapi?

nimeejifikisha furufuru nikaboeka.kumbee walibomoa Taurus lounge…

Kwa nyumba nimetulia tu hii mchana [ATTACH=full]205658[/ATTACH]

Kesho ndio naenda kukunywa jug daniels as I watch Liverpool and arsenal

Local Base na kunguru za home ground.[ATTACH=full]205685[/ATTACH]

Usiseme!!! Hio Taurus nimefyeka slay queens kama kumaliza. Used to pick tender college going chicks wenye hawana maneno mob. Idea ni kusepparate your target from her gang. Good old days. Good old days. Nimehuzunika sana.

ilienda na hizi demolitions za buildings on public land