Ulevi Sacco: Champions league Day 2

Walevi leo Ni siku ingine ya champions league. Hope ita Bamba Kama naja magame kama psg vs Liverpool Tena. Mimi kameanza kushika alafu niendee legend kabla game ianze.[ATTACH=full]194336[/ATTACH]
Walevi waweke stamp uko wapi na unakunywa Nini?

Ulishaambiwa hii jaba hunyunyiziwa pesticides kama Marathion, and fungicides? Lakini,kwa raha zako mzee…

There are some rogue farmers in Meru they spray miraa with some kind of pesticides during the hot season so that they can sprout faster. Its very important to be careful @cortedivoire

TUNAJENGA NCHI BRATHEE…NDIO TUWEZE KUKULIPIA HIZI TAX ZOOTE MPYA

wacha hio ghassia ikufe kabisaaa