Last weekend nilikamua sportpesa hadi Kwa settings… made 35k na stake ya 5k but hii wikendi nimekamuliwa 7k Hadi kwa mkia but isorait maisha huwa hivyo… unakamuliwa ama unakamuana madafaka isorait hic
Did you mean “hic”?
yes mwalimu wacha niedit
1 Like
Hehehe… Mimi ata interface ya sports pesa sijui venye inkaa.pole kwa masaibu.
1 Like
Hauna 28k ama rant ni ya nene?
Alipelekea mang’aurû akijua atawin zingine
screenshot ama ufunge domo