So nimeingia field leo saa tano kuna mzito alichukua basi tano na amekataa kulipa all cajoling and coaxing of the guy has yielded no fruits , jamaa kumtafuta ame ngoa ma tracker kwa gari . sasa imebidi niingie field na auctioneers tushike gari . tumeshika Embassava tatu nikasema sirudi job leo weekend ianze . mtu ako karibu akuje tuendelee . momo is enroute after classes . vumbi ni noma banaa afadhali niakae kwa ofis tu upper hill . niko katikati ya taun .