ULEVI KUTOA LOCK SACCO

Watu waweke stamp unatoa lock wapi na unakunywa nini?

Leo nakula tu ma melons

Natumia peasants drink with the name of a mod. [ATTACH=full]103645[/ATTACH]

kunywa maji kwa wingi nayo hiyo kitu sweat na breath yake asubuhi ni mbaya sana…

Juice ya miwa

ndio najipanga nitoke kwa nyumba

Thanks Afande for the heads up.

I’m nursing a very serious problem, Wednesday na Thursday was introduced to mirra na nikachanganya na whiskey, Jana nimeshida nikitapika karibu mbavu zipasuke,ulimi nimejiuma chakula ya chumvi haiteremuki ,second day sijatoka kwa nyumba,starehe ingine naona ni gharama kwangu.

Niko ndani ndani ndaaaaani kabisa.
Undisclosed location.
[ATTACH=full]103648[/ATTACH]

Yaani baada ya @bjurmann kulala kwa choo wewe ukaamua ujaribu starehe zake? :D:D:D

Nimejiuma ulimi vibaya nashanga hawa warume huwa wanatafuna hio miti aje,nimetapika janaa yote hadi leo asubuhi

[ATTACH=full]103650[/ATTACH]
Nakunywa maji yangu bila kusumbua

Kimbia tu hosi upewe kadawa flani ka kupaka ulimi otherwise tegea hizo blister zikufunze adabu; ama u tumie maji ya chumvi alafu ukule fruits…

hukujifunza chochote kutokana na masaibu ya afande @bjurmann ? ona mwingine @introvert

Niko hivi saa hii. 24h nonstop…
https://media.giphy.com/media/bEs40jYsdQjmM/giphy.gif

nakunywa chai hapa pole pole tu.

Umeset monkey trap?

Afande anacheza na IED…

Askari wachana Na hizo twigs. For your own sanity.

[ATTACH=full]103660[/ATTACH]
Having this ^ ^ at undisclosed location in Lunga Lunga.

But @mayekeke has a unit called ‘Twigs for beginners 101’ in first year for freshers.