Watu waweke stamp wanatoa wapi lock na unakunywa nini?
Mimi nakunywia kwa nyumba na import na nakunywa pombe rahisi. Johnny black.
[ATTACH=full]101011[/ATTACH]
Niko local nakunywa Tusker cider nikiangalia kando nisionekane na mtu ananijua. Budget mbaya…machoss tu:D:(:(