naenda job 11am. wacha nimalize hii legend nidoze. Naona Hii deal ikichapa.
Pray for me churchgoers[ATTACH=full]91816[/ATTACH]
Utasavive kazi kweli?
1 Like
Won’t you be stinking? , not to mention the effect the alcohol shall have on proper thinking and execution of tasks? Alafu utuambia tukuombee? Mscheew. Ntakuombea uache pombe
2 Likes
hebu nikuulize. wewe ni ka-mlevi vile huwa unaji-present hapa au inakuwaga kutuchocha tu? kuna story ya sungura na fisi ambako walikubaliana wakachape mabibi kumbe sungura kwake alitandika ngoma huku fisi mjinga akiumiza mkewe…
3 Likes
Hio sakafu ya simiti ni kama freezer. Tafuta meza kijana… Usijali kiti, utapewa na wanakijiji hata kama ni kiti ya NV