Ule kijana alikufa Kilimani kwa Airbnb alikua anakula takataka(mumamaz) I guess he was a talker here. HER PHOTO

Anzisha hio thread @Baby_Panay ni mkufi

1 Like

Hehe! Hapo nilifunga chapter…

Saa hii sijui system yangu ilipigwa reset, namezea petite blue eyed blonde Europeans, cougars flavor iliisha.

Mimi nilipata some cougars walikuwa wananilzamisha dates na sijui Karura, unashangaa mumama ako na akili gani hiyo ananiskumia commitment hivyo, walikuwa wananiona guardian Angel hiyo upuzi hapana.

Nacheza league yangu siku hizi, although this younger European amenipeleka mbio, na mambo ya relocation, nilikuwa hata niweke hekaya kwa kijiji but najipata usiku nikiangalia ceiling, but wacha ningangane na mali safi.

2 Likes

Bro enda ulaya uone maisha itakupelekaje in case huku bado hujashika kitu permanent.

1 Like

ukijua kutongoza, hii sampuli imejaa facebook. easy to nail.

Niko mimi.

1 Like

Elder mimi niko tu poa.

2 Likes

Suafee ngangari.

2 Likes