Ule Farmer Bonoko Ameenda Kutoa Za New Year. Atashikika Kweli?

Oya! Ule msito alihamia Uganda anajitayarisha new year parte after parte. Ndio ameingia local branch ya UBS kutoa za new year. I found a new use for old trousers and shoes. Next year hakuna kutupa kiatu eti imechapa. Naisafirisha na Easy coach mpaka huku. Vumbi na matope sitambui nikiwa na viatu vikuu kuu.
Jioni lazima nioshe wazee mesho na local cuisine. Madem wa huku vienyeji wako na scent ingine unique. Sii mbaya na sii mzuri. Iko tuu hapo. Hata waoge haishi. Halafu matako na pointed breasts sijui nitafanyia mini wajameni.
Wacha nione budget;
[ol]
[li]Mbuzi-2000/=,[/li][li]Beef-280/= per kg,[/li][li]Veges-free (unachuna kwa shamba ya jirani),[/li][li]Kuku kienyeji-400/=,[/li][li]Pombe-5000 imetosha(kumbuka kuna bring your own bottle in addition to busaa and Chang’aa,[/li][li]Makaa-bure(nilipewa na a new found friend mwenye alichoma ya Christmas),[/li][li]Madem-free(i am told everyone is usually horny in this village on 31st usiku),[/li][li]Security-free(kuna vijana was kutosha kulinda usalama).[/li][/ol]
Kenya kuna wizi sana. Yaani with less than 15k, kutakua na party ya kukata na shoka. Wacha nichomoe but well wishers can also contribute to the party. Happy new year buddies. Standby for more photos of village action.
[ATTACH=full]277911[/ATTACH]

HAPA HATUTAMUA. NA SASA UNGEHAMIA USA KAMA @Purple

Hehehe wacha ajibambe. :smiley:

Tuma pin.

Nilikosea wapi jameni…

[ATTACH=full]277962[/ATTACH]

Hahaha! Kuna raha MTU huskia akivaa viatu na nguo zimechapa sijui hutoka wapi.

You’re evil. Very evil:D:D

Kama hio ni merrell or any of its closely related cousins hapo sawa.