Ule Bigwig Hayuko Nairobi. Hatujui Atarudi Lini

Oya!! Ule mzito alijitoa Jana. Saa hii akoundisclosed location kwa Museveni. Ni ujinga gani hip nasikia huko Nyayo stadium? Saa hii in kutouch base na neighbours. Miwa kwa wingi local style halafu tuingie busaa saa kumi na wazee wa kijiji. Jioni ni kumeza Primus na kukamua nyaabo. What else can a man want? Too bad some idiot alikuwa anichomee gate ameingia mitini. Wacha nikunywe busaa sasa. I have activated my intelligence network ashikwe before giza iingie. Mission progress reports zinasema he has already been located. Kenyans tuonane Monday evening Nairobi West. For now, endeleeni kusherehekea madaraka yenye hamukupata.
[ATTACH=full]275229[/ATTACH][ATTACH=full]275230[/ATTACH]

hutu tumtu tufupi husumbua sana

Umejuaji ni mfupi ama mnajuana kwa vilemba

:smiley: stop working that Ugandan juicy possie and work, atleast ununue watch ya maana.

Wivu itakumaliza. Wacha watu wakule nice things.

Kwani @magreb unavaa kiatu size 5?

[ATTACH=full]275258[/ATTACH]

Magreb wewe ni meffi ile siku ntakupata utakula two hot slaps na sweep lakini niruushie nyabo hapo chavakali

Mboss, wewe hua meffi in my eyes. Tukikutana ntakupea two hot slaps, hipthrow na nikukanyange shingo. Lakini ukinirushia kienyeji ya kwenu nitafune kaf kaf, nitakusamehea. Tamu ka nyama ya sunguch

eunuch nilimuwekea wanted,atajua kuwa Mwana special forces ni kusema nini

Shemeji, maliza huyo ghasia

my pleasure

Sema marine long time msee… Hujajiandikisha kwa wazee aka senate(ile kijiji ingine)

Wewe ni pure chieth gweno

Kuchapa works tu, bro. Bado hujachukua ugali na kwenda home?
Nakuom retirement home soon after kupea mwili pole.

Yangu ni aug 31st 2020 1sep mimi ni raia mwema welcome but i guess tutasalimiana hewani nataka nisalimie Justin tradeu kidogo pale nova scotia

You are almost there, chief. Charlie Mike. Niko na one more kwa contract. Mpe Justin salamu zangu. Ukija sides za Vancouver nishtue.