Ukunda, Kwale County

Huku nduko niko…warembo wengi saana wasafi saana.

Whis are the nice spots to hang out? Siwesmind kusafisha macho pia nikiwa huku.

mbicha priss na pia usisahau kufikisha threshold

Leta spot poa. Nitaleta picha baadaye

Fisked

Hii Ni maswali unafaa kuuliza dereva Wa tuk tuk…

Nimeenda kujincheng jangili na huyu [ATTACH=full]62112[/ATTACH]

Hii ni TVS na hata battery ya Boxer @uwesmake

Tandoori …

Huko chunga boss… Malaya ndo wengi. Visit congo beach, very nice place and pass by swahili beach resort.
Guys, do you know with only 800bob on Sunday you can have a buffet and swim for the whole day at swahili beach? Don’t go past 10 am though.

Mkubwa hapa umenipiga chenga na chobo ua… Past ama before?

As in after 10 am hiyo offer wanatoa. Ufike mapema.

Hii inakaa shiny eyes and we all know you’re allergic to them

vile @wheelz amesema. enda safisha macho tandoori, kisha uchote shiru injury time wazungu wakishaenda; hiyo time wanakuwanga cheap sana.

Tukianzia hapo kwa junction ya corner ya beach kuna club yaitwa rongai up the first floor of the building iko na bank, sikumbuki kama ilikuwa ekwete ama kwft. Opposite hapo kwa stage kuna nyingine dance floor iko open air chini ya tent.

Ukifwata bara bara ya kuenda beach, ukifika kwa junction turn right. A little past Ali Barbour and the 40 thieves kuna disco/club yaitwa Shakatak. Right next to it kuna a variety of bars kama vimepangana kama vile buruburu shopping center. My best ilikuwa Bidi Badu.

Just ahead of Shakatak kuna Kim4Love, huwa wana cheza reggae throughout.

Ukaweza pata local akuonyeshe mahali Maasai iko unaweza saidika sana. Nimeenda huko nikiwa high tayari kwaivyo njia sikushika. I think iko karibu na airstrip

Hii sikuwa na jua

There’s an Ethiopian hotel around Diani, cant remember the name

Dont miss Ali Barbour at whatever cost!

:wink: Tell him

Kama ni mchana waeza enda 40 thieves ule lunch kwenye beach ama kwa cave, take a walk from watatu watano hadi mwisho wa lami just past baobab. Kuna restaurant mwitu yauza pweza, squid na mnazi hapo… Waweza amua kuogelea hapo. It’s more private with very little in terms of passers by. For dinner, try baobab beach resort

after wametumiwa au after wamekosa msungu?