The crude oil market is likely to mirror past reversion patterns from elevated prices. Brent crude has dropped about 80% on three occasions since the 2008 peak. It’s possible that Russia’s invasion of Ukraine triggers global recession and accelerates electrification and decarbonization trends," McGlone said in a note on Monday.
According to Bloomberg Intelligence, after surging to multi-year highs on the back of the conflict in Ukraine, oil could be at risk of a reversal if a global recession is in the cards
In other words tungojee mafuta ishuke bei in the near future ama?
Umesema ako na kizungu mingi, atupatie conclusion in simple terms.
Lugha ya wanjiku tafadhali
Kama hakuna ndege ya electricity hiyo yote ni myth
Sisi hatukufanya economics
Anasema bei haishuki. Factories mingi, tena mingi sana, zikufungwa/ zianguke ndio bei itashuka.
In the meantime, tuuze gari zote, tuchukue loan yakununua gari ya electric, tukusuburi kufutwa kazi siku factory itaanguka.
Yes, alafu pia huyo @Garreth atuambie kama USD ita collapse kama global reserve currency pamoja na oil prices.
Pia Houthi pale yemen wametupa kombora kadhaa wame bomb saudi petro refinery. Ni kunoma watu wa nunue solar.
translate please
Seems like Americans voted for a coward. Kaende sasa
i really love trump
Sisi watu wa footsubishi tuendelee kununua Reebok.
hatuna kakitu
Fooliza jombaaa hata upate 600 watt ya kucharge simu na tv. Lighting. Uko set.
How come Putin didn’t attack during the Trump presidency?