Uko wapi DJ

Hi fellow villagers, kuna DJ hapa (pole sana I forgot your name) nilipromise music sometime last year. Inbox ukipata hii message.
@admean, kama huna pesa ya storage si utuwekee till namba hapa. Messages zote (inbox) za last year naona umefuta!

Ni mimi hapa. Danchehall missile 1-30 ndio nilikuwa natafuta @Sovereign2

My libraries are at least 10 years old (when I retired!), lakini niko na collection ya dancehall oldies- sio mixes; these are mp3 tracks that you can mix on Serato, Virtual DJ, Traktor or whichever platform you guys use nowadays. I can get you a small collection of the newer stuff, just give me a week or two.