Stroke
June 27, 2018, 6:32pm
1
Kama bado hujapata namna sahihi ya kuwapima wapinzani namna wanavyoweza kuisimamia nchi Angalia tu namna wanavyosimamia vyama vyao; Hakuna tofauti sana.
Mwenyekiti ni Yule Yule kwa zaidi ya miaka 10. (Udikteta)
Katiba ya chama haina ukomo kwa nafasi ya uwenyekiti ( hata ya nchi itabadilishwa kuwa hivyo hivyo)
Chama kipo kwenye ofisi za kupanga ( usitegemee maendeleo yeyote).
Kila anayeuliza fedha za chama anaondolewa( kuminywa kwa uhuru wa kupata taarifa; Hakuna uwazi na uwajibikaji.
Kukosa msimamo wa falsafa ya chama (kumchagua Lowasa kama Mgombea)
Hivyo ndivyo nchi yetu itavyokuwa chini ya Upinzani.
Lumumba mnalilia mbowe atoke ili muweke pandikizi lenu kama lipumba mwishowe cha kife, hiyo nafasi hamtopata chadema inawasumbua sana vichwa vyenu vilivyojaa funza
Kweli Lumumba ni wasenge waliopitiliza aisee. Machoko nyie. Kwa hiyo CCM pale pana nini?
@Stroke a.k.a Kiharusi unajua kwamba kuna wizara na ofisi kadhaa za serikali zilikuwa zimepanga kwenye majengo mbali mbali ya mashirika ya Hifadhi za jamii? Halafu kupanga siyo dhambi kwa taasisi ambayo haikusanyi kodi.
MUGOMO
June 27, 2018, 7:13pm
5
Stroke:
Kama bado hujapata namna sahihi ya kuwapima wapinzani namna wanavyoweza kuisimamia nchi Angalia tu namna wanavyosimamia vyama vyao; Hakuna tofauti sana.
Mwenyekiti ni Yule Yule kwa zaidi ya miaka 10. (Udikteta)
Katiba ya chama haina ukomo kwa nafasi ya uwenyekiti ( hata ya nchi itabadilishwa kuwa hivyo hivyo)
Chama kipo kwenye ofisi za kupanga ( usitegemee maendeleo yeyote).
Kila anayeuliza fedha za chama anaondolewa( kuminywa kwa uhuru wa kupata taarifa; Hakuna uwazi na uwajibikaji.
Kukosa msimamo wa falsafa ya chama (kumchagua Lowasa kama Mgombea)
Hivyo ndivyo nchi yetu itavyokuwa chini ya Upinzani.
Peleka JF ya Melo. Haya mapovu hayana ulinganishi wa nchi itakavyokuwa chini ya CCM kuchagua vichaa kuongoza chama na serikali.
Stroke:
Kama bado hujapata namna sahihi ya kuwapima wapinzani namna wanavyoweza kuisimamia nchi Angalia tu namna wanavyosimamia vyama vyao; Hakuna tofauti sana.
Mwenyekiti ni Yule Yule kwa zaidi ya miaka 10. (Udikteta)
Katiba ya chama haina ukomo kwa nafasi ya uwenyekiti ( hata ya nchi itabadilishwa kuwa hivyo hivyo)
Chama kipo kwenye ofisi za kupanga ( usitegemee maendeleo yeyote).
Kila anayeuliza fedha za chama anaondolewa( kuminywa kwa uhuru wa kupata taarifa; Hakuna uwazi na uwajibikaji.
Kukosa msimamo wa falsafa ya chama (kumchagua Lowasa kama Mgombea)
Hivyo ndivyo nchi yetu itavyokuwa chini ya Upinzani.
Mavi umekuja kutafuta nini huku. Kaa kwa Jiwe mshangilie kufungiwa JF. Unatia kichefuchefu kabisa
Please JF members do not respond to this shit!
Stroke
June 28, 2018, 2:45am
7
Misukule ya Mbowe haujawahi kuwa na hoja yeyote.
Acha kuficha uwezo wako mdogo wa kujenga hoja kwa matusi.
Stroke
June 28, 2018, 2:46am
8
Umezungumzia moja tu la pango vipi na hayo mengine?
Heshima yako ni matusi. Unatafuta nini huku? Si Jiwe kaifungia JF, mmeshangilia, huna hata soni, unatafuta nini huku. JF si hamuitaki, imefungiwa, kaa huko mfurahi, mshangilie.
Eti stroke. Pumbavu. Bado ukimbizini mpooo. Kaoshe viatu vya mpumbavu mwenzio magogoni pale.
Stroke:
Kama bado hujapata namna sahihi ya kuwapima wapinzani namna wanavyoweza kuisimamia nchi Angalia tu namna wanavyosimamia vyama vyao; Hakuna tofauti sana.
Mwenyekiti ni Yule Yule kwa zaidi ya miaka 10. (Udikteta)
Katiba ya chama haina ukomo kwa nafasi ya uwenyekiti ( hata ya nchi itabadilishwa kuwa hivyo hivyo)
Chama kipo kwenye ofisi za kupanga ( usitegemee maendeleo yeyote).
Kila anayeuliza fedha za chama anaondolewa( kuminywa kwa uhuru wa kupata taarifa; Hakuna uwazi na uwajibikaji.
Kukosa msimamo wa falsafa ya chama (kumchagua Lowasa kama Mgombea)
Hivyo ndivyo nchi yetu itavyokuwa chini ya Upinzani.
Tutolee usenge wako wa kilumumba hapa.
Ukija na hoja zako za kisenge lazima upokee matusi, hakuna jinsi nyingine ya kukabiliana na wasenge kama wewe.
Stroke:
Kama bado hujapata namna sahihi ya kuwapima wapinzani namna wanavyoweza kuisimamia nchi Angalia tu namna wanavyosimamia vyama vyao; Hakuna tofauti sana.
Mwenyekiti ni Yule Yule kwa zaidi ya miaka 10. (Udikteta)
Katiba ya chama haina ukomo kwa nafasi ya uwenyekiti ( hata ya nchi itabadilishwa kuwa hivyo hivyo)
Chama kipo kwenye ofisi za kupanga ( usitegemee maendeleo yeyote).
Kila anayeuliza fedha za chama anaondolewa( kuminywa kwa uhuru wa kupata taarifa; Hakuna uwazi na uwajibikaji.
Kukosa msimamo wa falsafa ya chama (kumchagua Lowasa kama Mgombea)
Hivyo ndivyo nchi yetu itavyokuwa chini ya Upinzani.
Kila siku mnapotoa propaganda zenu huwa mnajitukanisha wenyewe. Sina muda kuelezea viroja vyote ulivyoviandika hapa ila naomba (ukiweza) nijibu kuhusu “hoja” yako ya kupanga ofisi na maendeleo:
Vodacom wamejenga ofisi zao wapi? Kwa akili yako Vodacom hawana maendeleo?
Mleta mada huna akili yenye afya kwa jamii
Nenda huko kwa Kichaa wenu Jiwe.
Umeona eh! Majitu ya ajabu kabisa. Yanamtetea Jiwe na UOVU wake, anaifungia JF, halafu jitu hili linakimbilia huku tena.
panzi
June 28, 2018, 6:56am
18
Stroke:
Kama bado hujapata namna sahihi ya kuwapima wapinzani namna wanavyoweza kuisimamia nchi Angalia tu namna wanavyosimamia vyama vyao; Hakuna tofauti sana.
Mwenyekiti ni Yule Yule kwa zaidi ya miaka 10. (Udikteta)
Katiba ya chama haina ukomo kwa nafasi ya uwenyekiti ( hata ya nchi itabadilishwa kuwa hivyo hivyo)
Chama kipo kwenye ofisi za kupanga ( usitegemee maendeleo yeyote).
Kila anayeuliza fedha za chama anaondolewa( kuminywa kwa uhuru wa kupata taarifa; Hakuna uwazi na uwajibikaji.
Kukosa msimamo wa falsafa ya chama (kumchagua Lowasa kama Mgombea)
Hivyo ndivyo nchi yetu itavyokuwa chini ya Upinzani.
Mkuu kule nyumbani ni Buku saba, Je huku ugenini ni dola ngapi? Maana haya ni masafa ya mbali.
Stroke huna aibu kama Polepole! hebu tutolee upuuzi wako huku ugenini, marabuku!!!