Niliona kunua ile Ailyon Jumia 19K ni upuzi., Afaa niongeze nibuy hii Skyworth. Tested it na iko poa kabisa. Going for 28K… Hio 23K hapo ni typo…
Hakuna mtu mwingine ananunua TV isipokuwa wewe. Just buy, utaleta feedback hapa hapa. The sellers need to survive too. Umepata ushauri wa kutosha lakini bado unang’ang’ania experience ikufunze.
kipii tulia
TV siku hizi ni cheap kushinda simu. Alafu what language is ‘afaa’? Gaddamit
Hiyo slang ni ya high school girls wa Othaya Girls.
Peasants thread
Ukija kununua gari shienzi utataka mpaka barua ya chief kutoka kwa kiwanda huko japan.Unahangaisha Kijiji na hii mikembe sana.
Elsers be better pana letea sisi upuzi kama hizi…nunua tv and STFU
io miaka yote ume uza mkia SJ ii mkebe pekee ndio unaweza hangaisha kijiji mzima nayo?
umbwa wewe tafuta kazi
Watu leo wako na makasiriko.
Hio pesa kula tu malaya juu nani siku hizi hukaa chini kuangalia an idle box.
[quote=“ChifuMbitika, post:5, topic:536277”]
…
Hiyo slang ni ya high school girls wa Othaya Girls.
[/quote
Afaa ndo kusema nini mtu wa ocha ?
Relax, lets celebrate hizi wins kidogo kidogo, kuna mtu pale nje anatamani kuwa na telly kaka.
Aiii wewe bado hujui starehe ya telly.
Njaanuary imefinya kabisaaaa!
28k for 43 inch bwana sio economic
inafaa kua how much