Hii serakali imejaa upuzi maradufu.
Enyewe huu ni ujinga.. vile @hakimoto huwa amechoma bets kama kila wiki ata save lini jameni?
Kila wiki game moja humtoa kwa birrions.. alafu ile day ana win Kasongo anakula zake kama sigisty one percent, Kra wanakula zao kama 20 percent. Anabaki na 19 percent, kasongo anachukia za housing levi na za kutumia barabara. Elder umemalizwa tu hivo..
Hapo Sawa
Ruto akona obsession gani na NSSF na SHA?
Hapo ndio anaokota pesa ya bure
Hii ni upuzii
Kabisa. Aim ni kumumaliza mkenya kwa njia zote zile
Housing levy, SHIF na NSSF ndio cash cow za Kasongo. It’s where he’s getting all this money he’s dishing out everywhere. I personally hate betting and gambling but hapa anafanya gamblers makende vibaya sana.
Ruto is a piece of shit lakini hapa nakubaliana na yeye. Afadhali pesa ya bet ikulwe na kina Ruto kuliko iende hizo East European countries.