Ukisahau phone kwa manzi yako na haina password.

[ATTACH=full]816[/ATTACH]

5 Likes

Hata uende haraka aje, jua imeshaa kaguliwa.

hehheehe…i get the joke

That is my worst fear

password ni amust waaaah never RISK

Mimi hata kama sijaweka password sidhani anaweza tumia

kwani ni mshamba :confused:

Xposed framework modules zimejaa

1 Like

elimisha mimi chief.

Haha

I never touch my husband’s phone, and the same for him.

If you go checking under every stone, you are guaranteed to find a serpent at some point.

hahaha wewe ni monkey kweli :smiley:

Simu vitu ilinifanyia last year! Wacha tu that will be a talk for another day