Ukiona umeanza kutafuta watu Kama Maina Njenga wakusaidie wewe umeisha 100%

3 Likes

Jabass anataka kutumia mongiki kumalisa murima.

3 Likes

@Hno_Hh if you can’t beat them, organise them to beat each other.

5 Likes

Maina njenga has absolutely no influence on Mt Kenya politics, that loser has tried 3 times to clinch a political seat in Laikipia and failed miserably, if the mountain spat in the face of Jayden in 2022, Maina ni Nini Sasa? Jambass amepoteza focus kabisa, ngombe ya mtu.

8 Likes

he has no political influence, lakini ako useful. mtu yyote, akinyamba kwa mkutano important, watu watapoteza focus, na agenda ya mkutano isahaulike, io ndio role ya maina njenga. kuleta confusion, tension,

6 Likes

Mbona mungich Ako Kwa front page ya gazeti

3 Likes