Ukioa mwanamke mfupi jiandae kisaikolojia

Hawa watu wana wivu wa mwendokasi,wabishi,wagomvi,wasiojiamini,wenye maneno ya kejeli,ila kabla sijaweka nukta ni watamu na wanajua kupenda!
Ni kweli ama ni porojo tu?
[SIZE=2]Naomba mtumie kiswahili mkitoa maoni kwenye huu uzi. [/SIZE]

Hizi stereotypes

3 Likes

Dada hebu tumia kiswahili nkama Hilo neno silitambui.

ngoja hapo wanawake wafupi wanakuja kukuhudumia kwa muda usio kuwa mrefu

4 Likes

Stereotypu

5 Likes

Don’t call her dada. Huyo ni mama, hawara wa kijiji.

1 Like

changia kwa kisweli kwenye mdahalo huu

Hizi stereotaipu

@Purr_27 kuja utueleze

mimi natafuta msichana Wa kibongo. hawa wa kenya hawapendi tigo.

1 Like

Na pia wana unyevunyevu na wanapenda unyefnyef…

1 Like

Na imagine tigo ni mobile network uko tz

1 Like

[SIZE=16px]Jameni Mpenzi @Okwonkwo ! Mimi Nadhania Tigo ni mtandao Wa simu za rununu? Ebu tafsiri zaidi.[/SIZE]

1 Like

Naunga mkono kichwa cha uzi huu…ni wabishi mno

mami are you kinda short???asking for @Mosa

1 Like

njoo nikukule tigo utajua utamu wake.

mimi ndo kiboko yao

5"6,what do you think

1 Like

Umenoa kaka. Ni wanaume wafupi ndio wana hiyo tabia. Huwa inaitwa “short man syndrome”

That’s the normal height for women in Kenya.